KUANZISHA KIKUNDI CHA MALI HAI CLUB KATIKA SHULE YA SEKONDARI NYAMWAGA HILL.

H:\DCIM\129___05\IMG_4635.JPG
Shirika limefanikiwa kuanzisha club ya mazingira ijulikanayo kama mali hai club katika shule ya sekondari Nyamwaga. Wanachama katika club hii ndio wenye wajibu wa kutunza na kusimamia mazingira katika shule yao.
Shirika litawajibika katika kutoa semina  utunzaji  wa  mazingira kwa wanachama wa mali hai club katika shule ya sekondari Nyamwaga.








C:\Documents and Settings\Administrator\My Documents\IMG_20150513_105208.jpg
H:\DCIM\129___05\IMG_4617.JPG
Picha: Wanachama wa shirika la TAECA wakishirikiana na wanafunzi wa mali Hai club kupanda miche ya            
          miti katika maeneo ya shule  ya Nyamwaga Hill Sekondari .


Shirika  limefanikiwa kuandaa na kuendesha semina ya siku tatu  ya namna bora ya ufugaji nyuki na uvunaji wa mazao yatokanayo na nyuki kwa wanacha wa shirika la TAECA na washiriki wengine kutoka kikundi cha ufugaji nyuki cha wazee wa mila Bwirege na kikundi cha ufugaji  nyuki kutoka kijiji cha Nyarero.
H:\DCIM\130___06\IMG_4659.JPG

About TAECA.TZ

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments :

  1. jinsi gani shule yangu inaweza kujiunga na kikundi cha utunzaji wa mazingira

    ReplyDelete