WAKULIMA WAIFURAHIA TECHNOLOJIA MPYA YA UHIFADHI WA NAFAKA DHIDI YA WADUDU WAHARIBIFU NA KUACHANA NA CHEMIKALI ZILIZOKUWA ZIKITUMIKA KAMA KINGA YA KUZUIA WADUDU HAO AMBAYO ILIKUWA SI SALAMA KIAFYA.
PICHA JUU: Mkulima Bi Lucy Raphael Gibore akimwelezea Mtaalamu kutoka shirika la TAECA 
aliyemtembelea Nyumbani kwake na kuona namna mkulima huyo alivyo hifadhi nafaka zake
kwa kutumia Technolojia mpya ya mifuko ya Purdue improve crop storage (PICS).
Kulingana na tafiti zilizo kwisha fanywa Takribani asilimia 10 ya chakula kinachovunwa uharibika kutokana na utunzaji mbovu wa nafaka katika magara ya wakulima.Hata hivyo juhudi nyingi zinafanyika duniani kote kuhakikisha kuwa uzalishaji na uhifadhi wa nafaka unafanyika katika ustadi wa hali ya juu ili kuokoa mazoa yasiharibiwe gharani.
Wadudu
0 comments :
Post a Comment